Mazao yaliyosajiliwa (16)

Namna ya kujiunga kupitia simu ya mkononi PDF

Utangulizi
Mfumo huu unatoa fursa ya mawasiliano kupitia ujumbe mfupi kati ya mnunuzi na muuzaji wa bidhaa za kilimo na mifugo kupitia simu yako ya kiganjani/mkononi.

Jinsi ya kutumia
 1. Fungua uwanja wa ujumbe katika simu yako
 2. Andika soko kasha tuma kwenda 0789778326
 3. Utapokea ujumbe wa kuchagua lugha, chagua 1. Kiswahili, 2. English
 4. Andika 1, tuma kwenda 0789778326
 5. Utapokea ujumbe, chagua 1. kuuza, 2. kununua
 6. Kama unauza andika 1, tuma kwenda 0789778326. Kama unanunua andika 2 tuma kwenda 0789778326
 7. Utapokea ujumbe wa kueleza mahali ulipo 1. Ilakala 2. Changarawe 3. Ilolo 4. Idifu
 8. Chagua namba ya mahali ulipo mfano 1 kisha tuma kwenda 0789778326.
 9. Utapokea ujumbe, wa chagua zao, 1 Mahinndi, 2 Mpunga, 3 Mbaazi, 4 Kunde, 5 Choroko, 6 Uwele, 7 Mtama, 8 Alizeti, 9 Karanga, 10 Njugu, 11 Ufuta, 12 Mihogo
 10. Andika namba ya chaguo lako kisha tuma kwenda 0789778326.
 11. Utapokea ujumbe wa kuchagua kipimo/ujazo 1 kilo, 2 debe 3 sado
 12. Andika namba ya chaguo lako kisha tuma kwenda 0789778326.
 13. Utapokea ujumbe wa kuchagua bei kwa kipimo/ujazo uliosema
 14. Andika bei kwa tarakimu, mfano 2000 kisha tuma kwenda 0789778326.
 15. Utapokea ujumbe wa kuchagua jumla ya kiasi mfano kilo, debe au gunia ngapi unazohitaji au unazouza
 16. Andika kiasi mfano 5 kisha tuma kwenda 0789778326.
 17. Utapokea ujumbe unaokuuliza ukomo wa muda bei uliyosema itadumu, mfano siku 7
 18. Andika tarakimu, mfano 7 kisha tuma kwenda 0789778326.
 19. Utapokea ujumbe wa Hongera umekamilisha mchakato